Mafunzo BURE kwa Wahitimu na Wahitimu Watarajiwa Civil Engineering [Diploma na Bachelor]

  

…” Kila Nikikumbuka Ni Kama Jana TU.!! ” …

Ilikuwa 2018, Baada ya Kumaliza Chuo Nikiwa na G.P.A Nyumba 4.9, Overall Best Finalist Student Under University LevelTop performerThree Times Consecutive in a Row Best Student in My Department [Civil Engineering]..








Nimemaliza Nimeingia Mtaani .. Maisha Yakaanza Kuninyoosha...🙌🙌

Sijui Naanzia Wapi... Sina Moja Wala Mbili Wale Wote Waliokuwa Wameniahidi Kusema Ukimaliza Tu Dogo Michongo Ipo Tutakuunganisha Kila Mmoja Nae Mpigia Ananikwepa Kama Hanijui...😨

Nyingi Kwenye Cheti Lakini Sijui Nazitumia Vipi Na Wapi.?🔥🙌

Kila Kampuni Binafsi, Boss Niliyekuwa Najaribu Kuenda Kum-Approach Na Kupeleka Barua Nipate Kazi Alikuwa Anaishia Tu Kuniangalia Huyu Dogo Vipi na Kuniambia [Acha Hapa BARUA Tutakuita Lakini Wapi O-L-A..!!]..😣😢

Kukosa Muelekeo Ulionyooka Wakuniongoza Kulinifanya Niingie Kwenye Biashara ya Crypto Currency Kipindi icho Nilianza na [Humaniq_Coin, XrpZero, Faharicash, Ethereumcashpro] Niliingia Kwenye Ponzi Scheme [Get Rich Quick] Kama Vile M9 BitcoinSunrise CommunityPerfect ChoiceMinejemminingMoney GuruCryptominingfarm Niliisha Kutapeliwa Pesa Yoyote na Mpaka Kuonekana Tapeli Kwa Marafiki zangu Niliowashawishi Wajiunge Michael Mihayo , Elton John N.k

Nikasema Nijaribu Kubeti Kipindi Icho Ilikuwa M-Bet Ndo Inabamba Sana..😆.. Lakini Wapi..

Mpaka Mwisho wa Siku Kulikuwa na Dollar 20 ya Marekani ya 2005 Mama Alikuwa Nayo Nyumbani Nilichukua Kwa Sababu Yeye Alikuwa Hafahamu Sana Mambo ya Burea De Change Nikaenda Kuibadilisha Nipate Mtaji..😁😁 Nikapata 48k Nikaanzisha Kamradi Changu Ka Sunrise Huduma Mpaka Nyumbani Natembeza Sabuni za Vipande, Unga na Viberiti...🙌🙌 Nilitembeza Siku Mbili TU ya 3 Siwezi Kuamka Miguu Inauma H.O.I...Hamna Mnunuaji...

Lakini Yote H.O.L.L.A... Jitihada Zangu Ziligonga Mwamba Nikapoteza Kabisa Kila Nilicho Nacho Na Kukataa Tamaa Kabisa Nikaanza Kuamini Kuenda Kwangu Shule Mbona Kama Hakuna Msaada..

Na Hivi Ndivyo Story za Watu Wengi Wanaomaliza Chuo [Civil Technicians/Engineers] Zilivyoo..

Na..


Kulingana na Takwimu ya Umoja wa Mataifa & Benki ya Dunia (2016) REPOA (2019)TCU (2015 - 2024) Tanzania Kila mwaka, maelfu ya vijana wanahitimu ngazi mbalimbali za Elimu ikiwemo Civil Engineering Diploma na Degree wakiamini kuwa vyeti vyao vitawafungulia milango ya mafanikio… lakini wanajikuta wakiwa nyumbani miezi 6, mwaka 1, hata miaka 3 bila kazi kulingana na Takwimu za ILO (2013), bila mwelekeo, na bila msaada wowote.

Wanajikuta wakiwa na elimu nzuri lakini hawana na hawajui hata pa kuanzia maisha.

Wengine wanajiingiza kufanya vitu ambavyo viko nje kabisa na walichosomea kama uwinga, bodaboda, Kubet, Ponzi Schemes, N.k huku wengine wanasubiri “neema ishuke wapate kazi TU!".

Kila siku mtu anazidi kuchoka kisaikolojia, anatamani hata arudi shule tena maisha yanaonekana yamekwama KABISA..!!

Serikali haitangazi nafasi za kazi kwa haraka za kuchukua watu wote mara moja. Makampuni binafsi yanaajiri “wenye experience”.

Unasikia watu wanajiajiri, lakini hujui uanzaje wala wapi pa kupata mitaji.

Unaanza kupoteza heshima yako mbele ya ndugu, wazazi, na jamii huoneshi kuleta matokeo na mabadiliko kama walivyoamini utakuwa nayo baada ya kuhitimu.

Huo siyo uvivu wako.... Bali Ni mfumo wa Elimu unaomaliza kazi yake darasani — lakini hautoi ramani ya maisha baada ya chuo.. Muongozo Uliokamilika Nini ufanye..Yaani Ni Sawa Na Kujifunza Kuendesha Gari Ukiwa Umejifungia Chumbani Kwa Miaka 3 Mpaka 4 Hafu Unaachiwa Uende Barabarani Sasa Mwenyewe Ukajue Nini cha Kufanya.

Ili Ujikomboe na ilo Unatakiwa Ujue na Uyafahamu Mambo Yafuatayo ili kupata Mafanikio Unayotarajia..

Moja 1#: 🔥 Ukweli Kuhusu Soko la Ajira – Nini kinaendelea kwa Sasa? Nini Kinahitajika Sokoni Kutoka Kwako Ili Kuboresha Mbinu zako za Kutafuta Ajira na Kuwa Mbele ya Ushindani.


Mbili 2#: Jinsi elimu yako ya kitaalum “Civil engineering” inavyoweza kukusaidia na Jinsi Inavyoweza Kukukwamua Kwa Kujiajiri Binafsi.

Ona Mfano Eng. Mohammed E alivyotengeneza zaidi ya Million 150 kwa kutumia Ujuzi wa elimu yake ya kitaalamu ya "Civil Engineering"

Tatu 3#: 💡 Kuwa na mihimili Mitatu (3) Muhimu  Katika Safari ya Mafanikio Baada ya Kumaliza Chuo itakuongeza Asilimia Kubwa ya Kupata Unachotarajia Ndani ya Muda Mfupi..

Nne 4#: 💼 Jua Njia Rahisi za Kuingia Kwenye Soko la Ajira ili Kupunguza Ugumu wa Wewe Kukubalika Kwenye Industry na Kuokoa Muda wa Kusubiri Mtaani.

Tano 5#: Mambo Makuu (4) Yanayochangia Kwa Asilimia Kubwa Kupata Kazi Katika Makampuni Binafsi [Wakandarasi] Ili Upate Kazi na Michongo kwa Wakandarasi Wengi Kama Mvua ya Mawe.

Sita 6#: Jenga CV [WASIFU] wenye NGUVU na wenye kuwashawishi Waajiri ili waone unafaa Kwa Mahitaji Yako na Wakupe KAZI.

Sita 7#: Kuwa na Ujuzi Muhimu Unaotakiwa Kuwa Nao Ukiwa kwa Mkandarasi Ili Kuwa Mbele ya Waombaji Wengine.

Nane 8#: Kuwa na Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi Ili kufanya kazi na kusimamia mradi wowote wa Ujenzi kwa Ufanisi zaidi na Kuboresha Uhitaji [DEMAND] Yako Katika SOKO.

Tisa 9#: Jua Vizuri Kutumia Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi Ili Uweze Kusimamia na Kuendesha Miradi Mwanzo Mwisho kwa Ufanisi Zaidi.

Kumi 10#: Fahamu Changamoto Zinazopatikana Kwa Mkandarasi Ili Kujua Jinsi ya Kuzitatua na Kufanya Kazi Site bila Stress.

Kumi na Moja 11#: Jifunze Mambo ya Kuzingatia Kwa Ajili Ya Maombi Ya Kazi za Serikali Kama Civil Technician/Engineer ili uwe shortlisted Kwenye Kila Kazi utakayoomba.

Kumi na Mbili 12#: Jifunze Vizuri Jinsi ya Kujiandaa na Usaili wa Kuandika Ajira za Serikali [UTUMISHI] Kada ya Uhandisi & Ujenzi ili Kuongeza Asilimia Kubwa ya Kufika Usaili wa Mahojiano ili kuongeza zaidi ya asilimia 80% Kupata Kazi Uliyoiomba.

Kumi na Tatu 13#: Mambo ya Kufanya “Civil Engineer/Technician” Baada ya Kutafuta Ajira au Kazi Bila Kufikia Matarajio Yako Ili Kuongeza Mbinu Mpya za kutafuta "PESA" Nje na Career yako.

Kumi na Nne 14#: Sekta 9 za Kiuchumi Ambazo Kila ”Civil Engineer/Technician” Anaweza Akawekeza na Zikampa Matokeo Ili Kuongeza vyanzo vyako vya Kipato Kupitia Uwekezaji wa Uhakika.

Kumi na Tano 15#: Sehemu Kuu Tatu za Kuwekeza na Kukuza Mtaji wako Ambazo Risk Free 100% ili kukuza mtaji wako bila hofu ya hasara.


Na Hivyo Ndivyo Utakavyojikomba Kwenye ilo DIMBWI Lakini Kama Utahitaji Nikushike Mkono Katika ilo ili Kuokoa MUDA Wako na Kufikia Unapotaka HARAKA Nimekuandalia...

Program Inaitwa..

…” Maisha Baada ya Chuo Kama Civil Engineer/Technician ” …


Kwa Ajili Yako Kuhakikisha Unapata Majibu na Muongozo Wenye Kukusaidia Wewe Kufika Kwa Haraka Pale Unapotarajia..


Ndani Ya Program Hii Utajifunza

  • Jinsi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira. 
  • Jinsi ya Kukabiliana na Changamoto Katika Utafutaji wa Ajira.
  • Jinsi ya Kutafuta na Kupata Ajira/Kazi Katika Makampuni Binafsi.
  • Jinsi ya Kutafuta na Kupata Ajira Serikalini.
  • Jinsi ya Kujiajiri Binafsi Kutumia Taaluma Yako. 
  • Jinsi ya Kujiwekeza Nje Na Taaluma Yako.
  • Jinsi ya Kutengeneza na Kuongeza Kipato.

Ndani ya Program Hii Utapata Majibu Ya Maswali Yako Yote Kama...

#1. Nitaanzia wapi baada ya kumaliza chuo, kabla sijaajiriwa na sina mtaji?

#2. Nitaanzia wapi kutengeneza pesa baada ya kumaliza chuo?

#3. Jinsi ya kutumia elimu yako ya kitaalamu ya "Civil Engineering" kujikwamua kiuchumi.

#4. Msingi wa kujiajiri moja kwa moja ikiwa ajira za makampuni binafsi na serikali zitakuwa changamoto.

#5. Nitapata vipi "connections" zitakazonisaidia kupata kazi?

#6. Jinsi ya kujenga uzoefu utakao kusaidia kupata kazi katika makampuni makubwa.

#7. Vitu gani vitakavyomfanya mhitimu wa Civil Engineering aweze kuendesha mradi mpaka mwisho kwa ufanisi?

#8. Itachukua muda gani kujiajiri au kupata ajira kama Civil Engineer/Technician?

#9. Je, nianze kufanya kazi inayohusiana na taaluma yangu ya Civil Engineering au kazi yeyote itakayopatikana kwa wakati huo?

#10. Nitaanzaje au nitaanzia wapi kuishi na kufanya kazi katika taaluma yangu ya Civil Engineering?

#11. Baada ya kumaliza chuo, nitawezaje kupata fursa za kuendeleza taaluma yangu kabla sijapata ajira?

#12. Ni changamoto gani zipo kwenye soko la ajira kwa sasa?

#13. Tofauti gani kati ya kufanya kazi serikalini na katika makampuni binafsi?


Program Hii Inakupitisha Katika HATUA ZOTE ( 1 - 5 ) kutoka Mtu Uliyekua GIZANI Kabisa Hujui Nini cha Kufanya wala Hujui wapi Pakuanzia Baada ya Kumaliza Chuo Kama Civil Engineer/Technician” Mpaka Mwisho Kabisa Kufikia Kwenye Malengo Makuu…



Program Hii Ni Maalum Kwa Ajili Yako Wewe..


MwanafunziMhitimu Mtarajiwa na Mhitimu Kada ya Uhandisi Ujenzi [Civil Engineering] Ngazi ya Diploma na Bachelor.

Je, Una Mashaka Kama Hii Program Itakusaidia Kupata Muongozo na Majibu ya Maswali yako Yanayo Kutatiza Kichwa...

Tizama Wenzako Waliowahi Kupata Mafunzo Haya Wanachosema..


Wanachosema..".......










Ndani Ya Program Hii Utapata Kujua..


Moja 1#: 🔥 Ukweli Kuhusu Soko la Ajira – Nini kinaendelea kwa Sasa? Nini Kinahitajika Sokoni Kutoka Kwako Hivyo basi itakusaidia Kuboresha Mbinu zako za Kutafuta Ajira na Kuwa Mbele ya Ushindani.

Mbili 2#: Jinsi elimu yako ya kitaalum “Civil engineering” inavyoweza kukusaidia hivyo basi utapata kuelewa thamani ya ujuzi wako na jinsi unavyoweza kukutoa sehemu Moja kwenda Nyingi.

Utajifunza jinsi Eng. Mohammed E alivyotengeneza zaidi ya Million 150 kwa kutumia Ujuzi wa elimu yake ya kitaalamu ya "Civil Engineering"

Tatu 3#: 💡 Mambo Mawili (2) ya Kuzingatia Katika Safari ya Mafanikio Baada ya Kumaliza Chuo Hii Itaongeza Asilimia Kubwa ya Kupata Unachotarajia Ndani ya Muda Mfupi..

Nne 4#: 💼 Njia 2 Rahisi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira ili Kupunguza Ugumu wa Wewe Kukubalika Katika Kwenye Industry na Kuokoa Muda wa Kusubiri Mtaani.

Tano 5#: Mambo Makuu (4) Yanayochangia Kwa Asilimia Kubwa Kupata Kazi Katika Makampuni Binafsi [Wakandarasi] Hivyo basi Utapata Kazi na Michongo kwa Wakandarasi Wengi Kama Mvua ya Mawe.

Sita 6#: Aina za Ujuzi Muhimu Unaotakiwa Kuwa Nao Ukiwa kwa Mkandarasi Hivyo basi Kuwa na Ujuzi Huu Kutakuweka Mbele ya Waombaji Wengine.

Saba 7#: Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi Hivyo kufanya kazi na kusimamia mradi wowote wa Ujenzi kwa Ufanisi zaidi na Kuboresha Uhitaji Wako.

Nane 8#: Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi Hivyo basi Utakuwa na uwezo wa Kusimamia Miradi Mwanzo Mwisho kwa Ufanisi Zaidi.

Tisa 9#: Changamoto Zinazopatikana Kwa Mkandarasi hivyo Basi Itakuandaa Kuzitatua na Kufanya Kazi Site bila Stress.

Kumi 10#: Tofauti zilizopo kati ya kufanya kazi kwa makampuni binafsi, kujiajiri na Kuajiriwa serikalini kama “Civil Engineer/Technician” Hii Itakusaidia kufanya Maamuzi bora kuhusu Mwelekeo wa Hatima yako.

Kumi na Moja 11#: Mambo Manne (4) ya Kuzingatia Kwa Ajili Ya Maombi Ya Kazi za Serikali Kama Civil Technician/Engineer ili uwe shortlisted Kwenye Kila Kazi utakayoomba.

Kumi na Mbili 12#: Mbinu za Kutumia Kujiandaa na Usaili wa Kuandika Kada ya Uhandisi & Ujenzi ili Kuongeza Asilimia Kubwa ya Kufika Usaili wa Mahojiano ili kuongeza zaidi ya asilimia 80% Kupata Kazi Uliyoiomba.

Ajira Portal Results

Kumi na Tatu 13#: Mambo ya Kufanya “Civil Engineer/Technician” Baada ya Kutafuta Ajira au Kazi Bila Kufikia Matarajio Yako Hii itakusaidia Kuongeza Mbinu Mpya za kutafuta "PESA" Nje na Career yako.

Kumi na Nne 14#: Sekta 9 za Kiuchumi Ambazo Kila ”Civil Engineer/Technician” Anaweza Akawekeza na Zikampa Matokeo Hivyo basi Kuongeza vyanzo vyako vya Kipato Kupitia Uwekezaji wa Uhakika.

Kumi na Tano 15#: Sehemu Kuu Tatu za Kuwekeza na Kukuza Mtaji wako Ambazo Risk Free 100% hivyo basi utapata kukuza mtaji wako bila hofu ya hasara.

Gharama za Program Hii Ni..

Tsh. 150,000/=

ila Leo Utapata Kwa Bei ya OFA 

Tsh. 10,000/= 

(Utakuwa Umeokoa (93%) Tsh. 140,000/= ) 

= => Lipia Sasa Kwa LIPA Namba (Voda) - 5243942 Jina Tony Hamis Mbugi


Kisha Nitumie Uthibitisho wa Muamala Kwa Njia ya WhatsApp Namba - (0746 452 103ili Kuingia Katika [MAFUNZO]..


BONASI Zinazoambata na Hii Program... (Zenye Thamani Ya Tsh. 165,000/= ) Unapata BURE.!!


BONASI # 1: Utapata Kitabu BURE Kinachokuelekeza hatua kwa hatua Jinsi ya Kuandaa CV yenye kiwango ...(Huwa inalipiwa Tshs 5,000).

BONASI # 2: Utapewa usaidizi BURE Kufungua Akaunti ya Ajira Portal na Kujaza Taarifa zako zote Mpaka Kufikisha Asilimia za Kuanza Kuomba Kazi za Serikali na Barua zote za Kutafuta Kazi na Ushauri Jinsi ya Kuanzaa Kutafuta Kazi ....(Huwa inalipiwa Tshs 20,000).

BONASI # 3: Unaungwa BURE Kwenye Group la WhatsApp VIP Kwa Ajili ya Kupatiwa Usaidizi wa Karibu Muda Wote… (Huwa Linalipiwa Tshs 10,000).

BONASI # 4: Utapata Kitabu BURE cha Jinsi ya Kujiandaa na Interviews yoyote ile ya Kuandika UTUMISHI kada ya Civil Engineering… (Wengine huwa wanalipia Tshs 30,000 kwa sasa).

BONASI # 5: Unapata Program na Kitabu BURE cha Kuanzaa Kutengeneza Kipato Nje na Career yako...(Thamani yake Ni Tshs 25,000)

BONASI # 6: Unapata Madarasa Matatu na Vitabu BURE vya Kuanzaa Uwekezaji Ambao Ni Risk Free 100% Kukuza Kipato Chako...BURE..BURE...BURE!......(Thamani yake Ni Tshs 15,000)

BONASI # 7: Unapata Access ya Darasa BURE Njia 5 za Kutengeneza Pesa ...BURE...BURE...BURE!....(Ikiwe ni Sehemu ya Course Yenye Thamani ya Tshs 60,000)


Unahitaji Nini Kuingia Katika Program Hii.?

Kuingia Kwenye Program Hii Hauhitaji Chochote Bali ni Utayari Wako.


Labda Unaweza Kuwa Una Mashaka...


1. Vipi Kama Simu Yangu Imepotea Ndio Napoteza Kila Kitu.?

Hapana...Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE Utanitafuta kwa WhatsApp Kisha Nitakupatia Access ya Kila Kitu Tena.

2. Vipi Nisipopata MATOKEO Inamaana Pesa Yangu Ndio itakuwa imepotea Hivyo?...

USIJALI…Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…


Ikitokea Hujapata Kati ya Haya Matokeo, Moja Hujapata Pa Kuanzia Baada ya Kupitia Hii Program, Hujafaulu Written Interview Kati ya 3 Ulizoudhuria, Hujaweza Kuanzaa Kuwekeza Katika Chochote au Kujifunza Chochote Ambacho Kitakuingizia Pesa Ambacho Ndani ya Program Hii… basi Nitumie Ujumbe “0746-452-103” ili Nikurudishie Pesa yako bila Kukuuliza Swali lolote na Access ya Kila Kitu Unabaki Nayo… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako hamna cha Kupoteza)


Guarantee Button

TAHADHARI: Ofa Hii Itakuwa Hewa Kwa Gharama Hizo Kwa Muda wa Masaa 24 Tu …Kwahiyo Wahi Lipia SASAHIVI ili Usikose OFA Hii Kabla ya Kurudi Kwenye Gharama ya Juu zaida Tsh 150,000/=


P. S. OFA hii ni ya Masaa 24 Tu… ina maana baada ya Masaa 24 Kupita Hiki PROGRAM Itapatikana kwa Tshs 150,000…

….na Kibaya zaidi ni Kwamba Usipolipia Sasa Hivi Utakosa na BONASI Zote Zenye Thamani ya Tshs 165,000 BURE

Kwahiyo Wahi Chukua HATUA Sasahivi ⏰⌚ ili Kuepuka Gharama za Ziada!..

Kuhusu Mtoa Mafunzo..


Tony Mbugi Picture

Jina Langu ni Tony Mbugi,..

Naishi Mikahawani, Mbeya – Tanzania...

Ni Mhandisi Ujenzi “Civil Engineer” nimesajiliwa na Bodi ya wahandisi ERB -Tanzania, lakini pia ni Lecturer na ni Director katika Kampuni ya Ujenzi Class V “AFRIKWANZA ENGINEERING AND CONSTRUCTION LIMITED, P.O Box 4209 Mbeya”.

......Ninawasaidia Wahitimu na wahitimu watarajiwa Kada ya Uhandisi Ujenzi “Civil Engineering” Ngazi ya Diploma na Bachelor Kujenga Ujuzi Wenye Kuleta Matokeo Unaowasaidia Kupata Ajira/Kazi, Kujiajiri, Kutengeneza na Kukuza Kipato....”







Previous Post Next Post