Kozi ya Kujiandaa na Written Interview za UTUMISHI kwa Civil Engineers/Technicians.

 

"Kosa la Hatari Wanalofanya Wahitimu wa Civil Engineering"

Wengi wanaposhiriki Written Interview za Kazi [Civil Engineering] Mara ya Kwanza (TANROADS, TARURA, TBA, RUWASA, FCC, OSHA, VETA n.k.)—wanashindwa kufaulu kwa zaidi ya 70% kwa sababu Kuu Zifuatazo: 

1.Kutokuwa SERIOUS.

Kupata KAZI ni KAZI pia Unapojua Tayari Kuna Kazi Umeomba na Lazima Majibu Yatatoka HUNA BUDI Kuwa Serious na Ishu ya Maandalizi Unavyojikuta Uko Busy Huna Muda Eti Unasubiri Siku Zifike Uombe ombe Reference za Maswali Kwa Watu Waliowahi Kufanya Interview Kama Hiyo Ndio Usome Kulingana na Hivyo Hafu Aingie Kwenye Pepa..Nataka Nikwambie Hapo ni Kama Kucheza Pata Potea..

2. Kukosa Maandalizi Na Kutokuwa na Maandalizi Sahihi

Everything worth needs work to be earned and deserved, Acha Kuishi Kwa Kubashiri Badala Yake Weka Jitihada na Mipango Kupambania Unachokitafuta...

Mtu unakaa unategemea Bahati Nasibu TU...Siku zote unavuna ulichopanda.., ili uvune na kupata matokeo bora lazima upande vyema na kwa usahihi..Ndivyo ilivyo na katika kujiandaa na usaili pia siyo kitu cha bahati mbaya au Ajari..lazima ujiandae nacho kutumia mikakati na mbinu sahihi kwa interview zote haziko sawa vyivyo hivyo na maandalizi lazima yatofautiane..

Matokeo Yake?

Unavyoitwa kwenye Written Interview, Moyo Unakupiga Mbio... lakini Hujui Uanze Wapi!

Unasoma “kila kitu” Usiku Kucha—Halafu Siku ya Mtihani Hakuna Hata 30% ya Hayo Yameulizwa.

Unashindwa Kufika kwenye Hatua ya Mahojiano – Nafasi inapita, Morali inashuka Unavunjika Moyo.

Unajilaumu: "Labda bahati yangu mbaya..." Lakini Ukweli ni Huu: Huu Sio Mchezo wa Bahati Nasibu..! Hii inategemeana na Jitihada Zako Kwanza, Mbinu na Maandalizi sahihi Kisha Mwenyezi Mungu Anajazia NEEMA Pote Palipobaki.

Binafsi Nimeudhuri Interview 3 TU za UTUMISHI [Kazi za Civil Engineering] Mpaka Kupata Kazi Lakini Hamna Written Interview Hata Moja Niliyoshindwa Kufika Oral Interview...



Ukweli Mchungu...!!

Acha Kujiandaa na Written Interview Kama Kipofu, Tafuta Mbinu Sahihi! 

Kufaulu Written Interview Kwa Zaidi ya Asilimia 70% Siyo Jambo la BAHATI MBAYA Ni Mkakati na Maandalizi Yenye Kutumia Mbinu Sahihi..!!


Na Labda Nikufahamishe Kitu Hapa...


Written Interview za Kazi [Civil Engineering] zipo katika Makundi 3, na kila kundi linahitaji Mbinu na Maandalizi tofauti kabisa:

1️⃣ General Interview

Ndani ya General Interview unatakiwa kufanya revision ya karibu kila module ya civil engineering – huwezi kuacha kitu.

2️⃣ Specific Interview

Ndani ya Specific Interview unatakiwa kufanya revision ya kulingana na Matakwa ya Kazi Uliyoombaa na Majukumu ya Kiutendaji ya Taasisi – Siyo Kwamba Unasoma tu Kila Kitu.

3️⃣ Unpredictable Interview

Ndani ya Unpredictable Interview hakuna formula kamili lazima utumie mkakati wa kuchanganya mbinu zote..

Je Utahitaaji Kushikwa Mkono Basi Nimeandaa Kozi...


✅ KOZI HII ITAKAYOKUONGOZA HATUA KWA HATUA

📘 Kozi hii ni Muongozo Kamili wa Kujiandaa na Usaili wa Kuandika wa Engineering & Construction kwa Nafasi Mbalimbali za Kazi [Civil Engineering].


Ndani ya Kozi Utapata:

1. Jinsi ya Kufanya Revision ya Modules Muhimu Kulingana na Nafasi ya Kazi & Aina ya Interview ili Upate Matokeo Mazuri.

2. Maswali ya Mfano (Multiple Choice) na Reference za Mitihani Kupitia Tovuti bora 5 za maswali ya Civil MCQ - Kwa Ajili ya [Usaili wa Written Online Ambao Ndio Unatumika Sasa Kwa Asilimia Nyingi].

Gharama za Program Hii Ni..

Tsh. 100,000/=

Ila Leo Utapata Kwa Bei ya OFA 

Tsh. 10,000/= 

Na Ni Kwa Watu 20 TU wa Kwanza Ndani ya Masaa 24..!!

(Utakuwa Umeokoa (90%) Tsh. 90,000/=) 

= => Lipia Sasa Kwa LIPA Namba (Voda) - 5243942 Jina Tony Hamis Mbugi

Kisha Nitumie Uthibitisho wa Muamala Kwa Njia ya WhatsApp Namba - (0746 452 103ili Kuingia Katika [MAFUNZO]..






BONASI Zinazoambata na Hii Program... (Zenye Thamani Ya Tsh. 130,000/= ) Unapata BURE.!!

BONASI # 1: Unaungwa BURE Kwenye Group la WhatsApp VIP Kwa Ajili ya Kupatiwa Usaidizi wa Karibu Muda Wote… (Huwa Linalipiwa Tshs 10,000).

BONASI # 2: Utapata Kitabu BURE cha Jinsi ya Kujiandaa na Interviews yoyote ile ya Kuandika UTUMISHI kada ya Civil Engineering… (Wengine huwa wanalipia Tshs 20,000 kwa sasa)

BONASI # 3: Unapata Program na Kitabu BURE cha Kuanzaa Kutengeneza Kipato Nje na Career yako...(Thamani yake Ni Tshs 25,000)

BONASI # 4: Unapata Madarasa Matatu na Vitabu BURE vya Kuanzaa Uwekezaji Ambao Ni Risk Free 100% Kukuza Kipato Chako...BURE..BURE...BURE!......(Thamani yake Ni Tshs 15,000)

BONASI # 5: Unapata Access ya Darasa BURE Njia 5 za Kutengeneza Pesa ...BURE...BURE...BURE!....(Ikiwe ni Sehemu ya Course Yenye Thamani ya Tshs 60,000)

Labda Unaweza Kuwa Una Mashaka...


1. Vipi Kama Simu Yangu Imepotea Ndio Napoteza Kila Kitu.?

Hapana...Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE Utanitafuta kwa WhatsApp Kisha Nitakupatia Access ya Kila Kitu Tena.

2. Vipi Nisipopata MATOKEO Inamaana Pesa Yangu Ndio itakuwa imepotea Hivyo?...

USIJALI…Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…


Ikitokea Hujapata Kati ya Haya Matokeo, Moja Hujapata Pa Kuanzia Baada ya Kupitia Hii Program, Hujafaulu Written Interview Kati ya 3 Ulizoudhuria au Kujifunza Chochote Ambacho Kitakuingizia Pesa Ambacho Ndani ya Program Hii… basi Nitumie Ujumbe “0746-452-103” ili Nikurudishie Pesa yako bila Kukuuliza Swali lolote na Access ya Kila Kitu Unabaki Nayo… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako hamna cha Kupoteza)


Guarantee Button

TAHADHARI: Ofa Hii Itakuwa Hewa Kwa Gharama Hizo Kwa Muda wa Masaa 24 Tu …Kwahiyo Wahi Lipia SASAHIVI ili Usikose OFA Hii Kabla ya Kurudi Kwenye Gharama ya Juu zaida Tsh 100,000/=


P. S. OFA hii ni ya Masaa 24 Tu… ina maana baada ya Masaa 24 Kupita Hiki PROGRAM Itapatikana kwa Tshs 100,000…

….na Kibaya zaidi ni Kwamba Usipolipia Sasa Hivi Utakosa na BONASI Zote Zenye Thamani ya Tshs 130,000 BURE

Kwahiyo Wahi Chukua HATUA Sasahivi ⏰⌚ ili Kuepuka Gharama za Ziada!..


Kuhusu Mtoa Mafunzo..


Tony Mbugi Picture

Jina Langu ni Tony Mbugi,..

Naishi Mikahawani, Mbeya – Tanzania...

Ni Mhandisi Ujenzi “Civil Engineer” nimesajiliwa na Bodi ya wahandisi ERB -Tanzania, lakini pia ni Lecturer na ni Director katika Kampuni ya Ujenzi Class V “AFRIKWANZA ENGINEERING AND CONSTRUCTION LIMITED”.

......Ninawasaidia Wahitimu na wahitimu watarajiwa Kada ya Uhandisi Ujenzi “Civil Engineering” Ngazi ya Diploma na Bachelor Kujenga Ujuzi Wenye Kuleta Matokeo Unaowasaidia Kupata Ajira/Kazi , Kujiajiri, Kutengeneza na Kukuza Kipato Nje na Career....”