Je Wewe Ni Graduate/Upcoming Graduate Civil Engineering (Diploma au Bachelor).?
"Gundua Siri Ambazo Zitakusaidia Kubadilisha Maisha Yako Kutumia Taaluma Yako ya Civil EngineeringAmbazo CHUONI Hufundishwi: Hatua kwa Hatua"
Umemaliza Masomo yako au uko kwenye hatua za Mwisho za Kumaliza Lakini Uko Katika HOFU, WASIWASI, SINTOFAHAMU na SHAKA ya Maisha Mtaani,
HUJUI Utafanya Nini.?
HUJUI Ufanye Nini au
UANZIE Wapi..?..
Umeshakaa Mtaani Tayari Unafanya Vitu Lakini HAVIENDI.?
Unaangaika.. Huna Connection..
Kama Ni Mhitimu/Mwanafunzi wa Civil Engineering (Bachelor na Diploma), Pamoja na Civil Technicians na Engineers, Nitakusaidia Kupata Ajira Serikalini (UTUMISHI), Kwenye Makampuni Binafsi kwa Kukujengea Ujuzi wa Ajira (Employability Skills) na Ujuzi wa Kitaaluma (Technical Skills). Pia Nitakusaidia Kujiajiri kwa Kutumia Taaluma yao Kwa Kuwajengea Ujuzi wa Biashara ya Kitaalamu (Expert Business Skills) Pamoja na Uwekezaji..
Hallo Jina Langu Naitwa Tony Mbugi..
Naishi Mikahawani, Mbeya – Tanzania...
Ni Civil & Water Resource Engineer , Director, Author (3 Plus Books), Instructor/Tutor , Content Creator (The CivilEngineers Hub) na Coach & Mentor..
”Kila Nikikumbuka Ni Kama Jana TU.!! ”
Program Ambayo Itakusaidia Hatua kwa Hatua wewe kama Professions from Civil Engineering (Diploma & Degree) - [Student & Graduate] Kujua Jinsi ya Kuingiza PESA Kwa Kutumia Taaluma Yako ya Civil Engineering.!
Kupitia Muda - Kupitia Maarifa - Kupitia Bidhaa - Kupitia Huduma & Kupitia PESA..
Ndani ya Program Hii, Utajifunza;-
1.Ujuzi wa Kitaalamu (Technical Skills) ili Kupata PESA Kupitia HUDUMA Yako!
2.Ujuzi wa Ajira (Employability Skills) ili Kuingiza PESA Kupitia MUDA Wako (Ajira Serikali au Katika Makampuni Binafsi)!
3.Ujuzi wa Digital Skills ili Kuingiza PESA Kupitia Maarifa Yako!
4.Ujuzi wa Ujasiriamali na Kujiajiri ili Kuingiza PESA Kupitia Bidhaa!
5.Ujuzi wa Uwekezaji ili Kuingiza PESA Kupitia PESA!
Requirements
Hauhitaji Experience Yoyote Ni Utayari wako TU wa Kujifunza na Kufanyia Kazi Ulichojifunza ili Kupata Matokeo.
Je, Una Mashaka..?!
Yaliyomo Ndani ya Program;
- UTANGULIZI
1. Kuhusu Program Hatua za Kupata Kazi, Kujiajiri na Kuwekeza Kama Civil Engineer/Technician
2. Elimu ya Kitaalamu ya “Civil Engineering” Uliyosoma Umuhimu wake ni Upi?
3. Unachohitaji Kukijua Kuhusu Soko la Ajira Kwenye Construction Industry..
4. Mambo yanayochangia Mafanikio Katika Safari yako Mtaani.
5. Njia Rahisi ya Kuingia ya Kuanza Safari Yako ya Mafanikio...
6. Ngazi za Mafanikio na Jinsi ya Kuzifikia Hatua Kwa Hatua
- KAZI KATIKA MAKAMPUNI BINAFSI CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN..
7. Jinsi ya Kutafuta Kazi Kwa Wakandarasi
8. Mambo Makuu (4) yanayochangia kwa Asilimia Kubwa Kupata Kazi Kwa Wakandarasi...
9. Aina za Ujuzi Muhimu Unaotakiwa Kuwa Nao Ukiwa Unafanya Kazi kwa ”Wakandarasi.”.
10. Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi.....
11. Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi.”...
12. Changamoto Zinazopatikana Ukiwa Unafanya Kazi Kwa Wakandarasi.....
13. Kazi Na Majukumu Yako Kama Mtaalamu Ukiwa Kwa Mkandarasi...
14. Jinsi ya Kutafuta Kazi Kwa Wakandarasi
15. Tofauti zilizopo Kati ya Kufanya Kazi kwa Mkandarasi na Kuajiriwa Serikalini..
- AJIRA SERIKALINI CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN..
15. Jinsi ya Kutafuta Kazi za Serikali [Civil Engineering] & Mambo ya Kuzingatia Katika Maombi Ya Kazi za Serikali.
16. Jinsi ya Kujiandaa na Usaili wa Kazi za Serikali [UTUMISHI] Civil Engineer/Technician ili Kupata Matokeo...
17. Makosa Wakati wa Maombi na Usaili wa Kazi
18. Mambo ya Kufanya Civil Engineer/Technician Wakati Bado Unatafuta Ajira na Huko Kipindi cha Kusubiri.
- AJIRA BINAFSI [KUJIAJIRI] CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN..
19. Vitu vya Kuzingatia Unapotaka Kujiajiri Civil Engineer/Technician
20. Jinsi Ya Kujiajiri Kupitia Ujuzi wako wa Darasani [Civil Engineering]
21. Step by Step Jinsi ya Kufungua Kampuni Yako ya Ujenzi “Civil Technician/Engineer
- KUTENGENEZA KIPATO NJE NA CAREER YA CIVIL ENGINEERING..
22. Jinsi ya Kutengeneza Kipato Nje na Career ya Civil Engineering...
23. Jinsi ya Kuanza Uwekezaji na Kukuza Mtaji wako Bila Hatari Yoyote 100%...
24. Hitimisho
BONASI Zinazoambata na Hii Program... (Zenye Thamani Ya Tsh. 160,000/= ) Unapata BURE.!!
JUMLA (PROGRAM & BONASI) NI: Tsh. 310,000/=
Ila Kwa Sababu Hujawahi Kupata Kitu cha Thamani Chochote Kutoka Kwangu Na Ndio Mara Yako ya Kwanza Kufanya Kazi na Mimi Leo
Utapata Program Kwa Bei ya OFA ya Kufa Mtu...
Ila Kwa Sababu Hujawahi Kupata Kitu cha Thamani Chochote Kutoka Kwangu Na Ndio Mara Yako ya Kwanza Kufanya Kazi na Mimi Leo
Utapata Program Kwa Bei ya OFA ya Kufa Mtu...
Tsh. 70,000/=
Ni OFA inayokalibiana Sawa na Kulipia Bei ya Bundle la Internet 🖁🖁 UNLIMITED la Mwezi Mmoja TU..
Kwa Mwezi Huu Tunawasaidia Watu wa 5 TU wa Kwanza Watakaolipia Ndani ya Masaa 24..!!
(Ukiwahi Kulipia Utakuwa Umeokoa Asilimia (77%) Yaani Tsh. 240,000/=)
Ni OFA inayokalibiana Sawa na Kulipia Bei ya Bundle la Internet 🖁🖁 UNLIMITED la Mwezi Mmoja TU..
Kwa Mwezi Huu Tunawasaidia Watu wa 5 TU wa Kwanza Watakaolipia Ndani ya Masaa 24..!!
(Ukiwahi Kulipia Utakuwa Umeokoa Asilimia (77%) Yaani Tsh. 240,000/=)
Lipia Sasa Kwa LIPA Namba (M-Pesa) - 51182404 Jina Tony Mbugi
Kisha Nitumie Uthibitisho wa Muamala Kwa Njia ya WhatsApp Namba - (0746 452 103) Ndani ya Masaa 12 ili Nikuunge Katika [MAFUNZO]...























