…” Kila Nikikumbuka Ni Kama Jana TU.!! ” …
- Kujenga Connection Zenye Kunipa Michongo.
- Jinsi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira Hata Bila Kujali Experience Yako.
- Njia Za Kutumia ili Ujiongeze Nafasi Yako ili Kukubalika Na Maboss Wengi wa Kampuni Binafsi
- Jinsi ya Kupata Kazi Serikalini.
- Jinsi Navyoweza Kujiajiri Kupitia Taaluma Yangu
- Kujiajiri Nje na Taaluma Yangu.
- Sekta za Kiuchumi Ambazo Hata Nikianza Kufanya Biashara Leo Sikosi H.E.L.A Na Mengine Mengi..
Program Hii Inahusu Nini.?
Program Hii Ni Mafunzo Yaliyo Kamilika:-
- Jinsi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira.
- Jinsi ya Kukabiliana na Changamoto Katika Utafutaji wa Ajira.
- Jinsi ya Kutafuta na Kupata Ajira/Kazi Katika Makampuni Binafsi.
- Jinsi ya Kutafuta na Kupata Ajira Serikalini.
- Jinsi ya Kujiajiri Binafsi Kutumia Taaluma Yako.
- Jinsi ya Kujiwekeza Nje Na Taaluma Yako.
- Jinsi ya Kutengeneza na Kuongeza Kipato.
Program Hii Ni Maalum Kwa Ajili Ya Watu Gani.?
Ndani Ya Program Hii Utapata Na Utajifunza Nini..
Mbili 2#: Jinsi elimu yako ya kitaalum “Civil engineering” inavyoweza kukusaidia hivyo basi utapata kuelewa thamani ya ujuzi wako na jinsi unavyoweza kukutoa sehemu Moja kwenda Nyingi.
Utajifunza jinsi Eng. Mohammed E alivyotengeneza zaidi ya Million 150 kwa kutumia Ujuzi wa elimu yake ya kitaalamu ya "Civil Engineering"
Tatu 3#: 💡 Mambo Mawili (2) ya Kuzingatia Katika Safari ya Mafanikio Baada ya Kumaliza Chuo Hii Itaongeza Asilimia Kubwa ya Kupata Unachotarajia Ndani ya Muda Mfupi..
Nne 4#: 💼 Njia 2 Rahisi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira ili Kupunguza Ugumu wa Wewe Kukubalika Katika Kwenye Industry na Kuokoa Muda wa Kusubiri Mtaani.
Tano 5#: Mambo Makuu (4) Yanayochangia Kwa Asilimia Kubwa Kupata Kazi Katika Makampuni Binafsi [Wakandarasi] Hivyo basi Utapata Kazi na Michongo kwa Wakandarasi Wengi Kama Mvua ya Mawe.
Sita 6#: Aina za Ujuzi Muhimu Unaotakiwa Kuwa Nao Ukiwa kwa Mkandarasi Hivyo basi Kuwa na Ujuzi Huu Kutakuweka Mbele ya Waombaji Wengine.
Saba 7#: Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi Hivyo kufanya kazi na kusimamia mradi wowote wa Ujenzi kwa Ufanisi zaidi na Kuboresha Uhitaji Wako.
Nane 8#: Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi Hivyo basi Utakuwa na uwezo wa Kusimamia Miradi Mwanzo Mwisho kwa Ufanisi Zaidi.
Tisa 9#: Changamoto Zinazopatikana Kwa Mkandarasi hivyo Basi Itakuandaa Kuzitatua na Kufanya Kazi Site bila Stress.
Kumi 10#: Tofauti zilizopo kati ya kufanya kazi kwa makampuni binafsi, kujiajiri na Kuajiriwa serikalini kama “Civil Engineer/Technician” Hii Itakusaidia kufanya Maamuzi bora kuhusu Mwelekeo wa Hatima yako.
Kumi na Moja 11#: Mambo Manne (4) ya Kuzingatia Kwa Ajili Ya Maombi Ya Kazi za Serikali Kama Civil Technician/Engineer ili uwe shortlisted Kwenye Kila Kazi utakayoomba.
Kumi na Mbili 12#: Mbinu za Kutumia Kujiandaa na Usaili wa Kuandika Kada ya Uhandisi & Ujenzi ili Kuongeza Asilimia Kubwa ya Kufika Usaili wa Mahojiano ili kuongeza zaidi ya asilimia 80% Kupata Kazi Uliyoiomba.

Kumi na Tatu 13#: Mambo ya Kufanya “Civil Engineer/Technician” Baada ya Kutafuta Ajira au Kazi Bila Kufikia Matarajio Yako Hii itakusaidia Kuongeza Mbinu Mpya za kutafuta "PESA" Nje na Career yako.
Kumi na Nne 14#: Sekta 9 za Kiuchumi Ambazo Kila ”Civil Engineer/Technician” Anaweza Akawekeza na Zikampa Matokeo Hivyo basi Kuongeza vyanzo vyako vya Kipato Kupitia Uwekezaji wa Uhakika.
Kumi na Tano 15#: Sehemu Kuu Tatu za Kuwekeza na Kukuza Mtaji wako Ambazo Risk Free 100% hivyo basi utapata kukuza mtaji wako bila hofu ya hasara.
Gharama za Program Hii Ni..
Tsh. 150,000/=
ila Leo Utapata Kwa Bei ya OFA
Tsh. 10,000/=
(Utakuwa Umeokoa (93%) Tsh. 140,000/=)
Tsh. 150,000/=
ila Leo Utapata Kwa Bei ya OFA
Tsh. 10,000/=
(Utakuwa Umeokoa (93%) Tsh. 140,000/=)
= => Lipia Sasa Kwa LIPA Namba (Voda) - 5243942 Jina Tony Hamis Mbugi
Kisha Nitumie Uthibitisho wa Muamala Kwa Njia ya WhatsApp Namba - (0746 452 103) ili Kuingia Katika [MAFUNZO]..
BONASI Zinazoambata na Hii Program... (Zenye Thamani Ya Tsh. 165,000/= ) Unapata BURE.!!
Unahitaji Nini Kuingia Katika Program Hii.?
Kuingia Kwenye Program Hii Hauhitaji Cheti wala Ujuzi Wowote Bali ni Utayari Wako.
Labda Unaweza Kuwa Una Mashaka...
1. Vipi Kama Simu Yangu Imepotea Ndio Napoteza Kila Kitu.?
Hapana...Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE Utanitafuta kwa WhatsApp Kisha Nitakupatia Access ya Kila Kitu Tena.
2. Vipi Nisipopata MATOKEO Inamaana Pesa Yangu Ndio itakuwa imepotea Hivyo?...
“USIJALI…Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…”
“Ikitokea Hujapata Kati ya Haya Matokeo, Moja Hujapata Pa Kuanzia Baada ya Kupitia Hii Program, Hujafaulu Written Interview Kati ya 3 Ulizoudhuria, Hujaweza Kuanzaa Kuwekeza Katika Chochote au Kujifunza Chochote Ambacho Kitakuingizia Pesa Ambacho Ndani ya Program Hii… basi Nitumie Ujumbe “0746-452-103” ili Nikurudishie Pesa yako bila Kukuuliza Swali lolote na Access ya Kila Kitu Unabaki Nayo… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako hamna cha Kupoteza)

“USIJALI…Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…”
![]() |
TAHADHARI: Ofa Hii Itakuwa Hewa Kwa Gharama Hizo Kwa Muda wa Masaa 24 Tu …Kwahiyo Wahi Lipia SASAHIVI ili Usikose OFA Hii Kabla ya Kurudi Kwenye Gharama ya Juu zaida Tsh 150,000/=
P. S. OFA hii ni ya Masaa 24 Tu… ina maana baada ya Masaa 24 Kupita Hiki PROGRAM Itapatikana kwa Tshs 150,000…
….na Kibaya zaidi ni Kwamba Usipolipia Sasa Hivi Utakosa na BONASI Zote Zenye Thamani ya Tshs 165,000 BURE
Kwahiyo Wahi Chukua HATUA Sasahivi ⏰⌚ ili Kuepuka Gharama za Ziada!..
Kuhusu Mtoa Mafunzo..
Jina Langu ni Tony Mbugi,..
Naishi Mikahawani, Mbeya – Tanzania...
Ni Mhandisi Ujenzi “Civil Engineer” nimesajiliwa na Bodi ya wahandisi ERB -Tanzania, lakini pia ni Mkufunzi katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na ni Director katika Kampuni ya Ujenzi Class V “AFRIKWANZA ENGINEERING AND CONSTRUCTION LIMITED, P.O Box 4209 Mbeya”.
“......Ninawasaidia Wahitimu na wahitimu watarajiwa Kada ya Uhandisi Ujenzi “Civil Engineering” Ngazi ya Diploma na Bachelor Kujenga Ujuzi Wenye Kuleta Matokeo Unaowasaidia Kupata Ajira/Kazi, Kujiajiri, Kutengeneza na Kukuza Kipato....”