Fatilia Hii Mpaka Mwisho...
. .[Hamna Tatizo....] 👍 Hii Iko Kwa Ajili Yako
…”Kila Nikikumbuka Ni Kama Jana TU.!! ” …
Je, Unajua Kwanini Nimekwambi Yote Haya.?! Kwa Sababu Moja Kubwa SOON or LATER Hata Kama Kwa Kuchelewa Utagundua TU Nachokwambia Hapa Chini 👇Ni Ukweli MTUPU!
Wanajikuta wakiwa na Elimu walio ipata kwa Gharama Kubwa lakini Hawajui hata Waitumie Vipi na Waanzie wapi Baada ya Maisha ya chuo Kuisha na Kuingia Mtaani.
Wengine Wanajiingiza Kufanya Vitu Ambavyo viko Nje Kabisa na Walichosomea [Unprofessional] kama Kubet, Ponzi Schemes, N.k huku wengine wanasubiri “Neema ishuke TU huku wamekaa Majumbani Kwao Wanaota Moto na Kuangalia TV!".
Kila siku mtu Anajikuta kuchoka Kisaikolojia Kukaa tu Bila Mwelekeo, Anatamani hata arudi shule tena maisha yanaonekana yamekwama KABISA..!!
Ajira Hazitangazwi kwa Mkupuo hivyo za Kuchukua Kijiji cha watu wote mliomaliza na wako mtaani mara moja. Makampuni makubwa binafsi yanataka “wenye experience miaka 3 na kuendelea” na wenye sifa zinazowafaha.
Unataka kujiajiri, lakini hujui uanzaje na wapi pa kupata mitaji.
Unaanza kupoteza ustahimilivu wako na ukiangalia kuna watu wako wakaribu wanaokutegemea wakiaamini baada ya kutoka CHUO utarudi na matokeo MAKUBWA na MABADILIKO Makubwa kama wewe ulivyojiamini utakuwa nayo before.!!.
Hii ni Transition ambayo kila mtu Anaachwa Nayo....
Ni kutokana na Jinsi ya mfumo wa Elimu ulivyo baada ya mafunzo Darasani Kuisha— Hakuna Ramani ya Maisha baada ya Chuo.. Muongozo Uliokamilika Nini Mtu afanye..Elimu Aliyoipata Imsaaidie wapi na namna gani.? Anawezaje Kuanza Kutafuta Ajira Akiwa Hajapata Cheti [Before Graduation] , Baada ya Kupata Cheti [After Graduation]..Kujiajiri Kutumia Elimu Yake au Nje na Taaluma Yake au Kuanza Uwekezaji..
Ni sawa na Kupewa Toolkit la Vifaa Vyote Hafu Hujui Kifaa Kipi Kinatumika Wapi na Kwa Namna Gani..Yaani Ni Kama Kujifunza Kuendesha Gari Ukiwa Umejifungia Chumbani Kwa Miaka 3 Mpaka 4 Hafu Unaachiwa Uende Barabarani Sasa Mwenyewe Ukajue Nini cha Kufanya.
Mbili 2#: Jua Thamani ya Elimu, Lengo Lake Haswa Kwako Ni Nini.? Kwanini Ulienda Kusoma.?, Ukifahamu ilo Basi Ni Rahisi Hata Kujua Jinsi Elimu yako ya Kitaalum “Civil engineering” inavyoweza kukusaidia na Jinsi Inavyoweza Kukukwamua Kwa Kujiajiri Binafsi wakati Unasubiri Mambo Mengine.
Ona Mfano Eng. Mohammed E alivyotengeneza zaidi ya Million 150 kwa kutumia Ujuzi wa elimu yake ya kitaalamu ya "Civil Engineering"
Tatu 3#: 💡 Fahamu Mihimili Mitatu (3) Muhimu Katika Safari ya Mafanikio Baada ya Kumaliza Chuo itakuongeza Asilimia Kubwa ya Kupata Unachotarajia Ndani ya Muda Mfupi..
Nne 4#: 💼 Jua Njia Rahisi za Kuingia Kwenye Soko la Ajira ili Kupunguza Ugumu wa Wewe Kukubalika Kwenye Industry Kwa sababu Awali Unavyoanza Hamna Mtu Anaekujua na Kukuamini Hii ita Kuokolea Muda wa Kusubiri Mtaani.
Tano 5#: Kuna Mambo Makuu (4) Yanayochangia Kwa Asilimia Kubwa Kupata Kazi Katika Makampuni Binafsi [Wakandarasi] Ili Upate Kazi na Michongo kwa Wakandarasi Wengi Kama Mvua ya Mawe Hakikisha Unajua What Matters the Most..
Sita 6#: Jifunze Kujenga CV [WASIFU] wenye NGUVU na wenye kuwashawishi Waajiri ili waone unafaa Kwa Mahitaji Yako na Wakupe KAZI.
Sita 7#: Jenga Ujuzi Muhimu wa Kazi Unaotakiwa Kuwa Nao Ukiwa kwa Mkandarasi Ili Kuwa Mbele ya Waombaji Wengine.
Nane 8#: Kuwa na Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi Ili Kuweza Kufanya kazi na Kusimamia Mradi wowote wa Ujenzi kwa Ufanisi zaidi na Kuboresha Uhitaji [DEMAND] Yako Katika SOKO.
Tisa 9#: Jua Vizuri Kutumia Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi Ili Uweze Kusimamia na Kuendesha Miradi Mwanzo Mwisho kwa Ufanisi Zaidi.
Kumi 10#: Fahamu Changamoto Zinazopatikana Kwa Wakandarasi [Makampuni Binafsi] Ili Kujua Jinsi ya Kuzitatua na Kufanya Kazi Site bila Stress Lakini Pia Kuongeza Mbinu Nyingine za Kujikwamua ili Usiwe Mwizi na Ukaharibu Kazi za Watu.
Kumi na Moja 11#: Juu Mambo ya Kuzingatia Kwa Ajili Ya Maombi Ya Kazi za Serikali Kama Civil Technician/Engineer ili uwe shortlisted Kwenye Kila Kazi utakayoomba.
Kumi na Mbili 12#: Jifunze Vizuri Jinsi ya Kujiandaa na Usaili wa Kuandika Ajira za Serikali [UTUMISHI] Kada ya Uhandisi & Ujenzi ili Kuongeza Asilimia Kubwa ya Kufika Usaili wa Mahojiano ili kuongeza zaidi Asilimia za Ufaulu Unaotakiwa Kuingia Kwenye Database na Kupata Kazi Uliyoiomba.
Kumi na Tatu 13#: Kuna Mambo ya Kufanya “Civil Engineer/Technician” Baada ya Kutafuta Ajira au Kazi Bila Kufikia Matarajio Yako Ili Kuongeza Mbinu Mpya za kutafuta "PESA" Nje na Career yako.
Kumi na Nne 14#: Kuna Sekta 9 za Kiuchumi Zilizothibitishwa Miaka Nenda Rudi Ambazo Kila ”Civil Engineer/Technician” Anaweza Akawekeza na Zikampa Matokeo Ili Kuongeza vyanzo vyako vya Kipato Kupitia Uwekezaji wa PESA sehemu yenye Uhakika.
Kumi na Tano 15#: Hupendi Stress Huna Muda Usiache Hela Ikae bila Kuzaliana Kuna Sehemu Kuu Tatu za Kuwekeza na Kukuza Mtaji wako Ambazo Risk Free 100% bila hofu ya Hasara.
Na Hivyo Ndivyo Utakavyojikomba Kwenye ilo DIMBWI Kwa HARAKA..
Program Inaitwa..
Program Hii Ni Maalum Kwa Ajili Yako Wewe..
Ndani Ya Program Hii Utapata Kujua Hizo Siri 15 Kiundani Zenye Kukusaidia Kupata Matokeo HARAKA Kama..
Mbili 2#: Jinsi Elimu yako ya Kitaalum “Civil engineering” inavyoweza kukusaidia na Jinsi Inavyoweza Kukukwamua Kwa Kujiajiri Binafsi wakati Unasubiri Mambo Mengine.
Tatu 3#: 💡 Mihimili Mitatu (3) ya Kuzingatia Katika Safari ya Mafanikio Baada ya Kumaliza Chuo Hii Itaongeza Asilimia Kubwa ya Kupata Unachotarajia Ndani ya Muda Mfupi..
Nne 4#: 💼 Njia 2 Rahisi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira ili Kupunguza Ugumu wa Wewe Kukubalika Katika Kwenye Industry na Kuokoa Muda wa Kusubiri Mtaani.
Tano 5#: Kuandaa CV [WASIFU] wenye NGUVU na wenye kuwashawishi Waajiri ili waone unafaa Kwa Mahitaji Yako na Wakupe Nafasi ya KAZI.
Sita 6#: Mambo Makuu (4) Yanayochangia Kwa Asilimia Kubwa Kupata Kazi Katika Makampuni Binafsi [Wakandarasi] na Kuongeza DEMAND yako Hivyo basi Utahitaji na Kupata Kazi na Michongo kwa Wakandarasi Wengi Kama Mvua ya Mawe.
Saba 7#: Ujuzi Muhimu Unaotakiwa Kuwa Nao Ukiwa kwa Mkandarasi Hivyo basi Kuwa na Ujuzi Huu Kutakuweka Mbele ya Waombaji Wengine.
Nane 8#: Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi Hivyo kufanya kazi na kusimamia mradi wowote wa Ujenzi kwa Ufanisi zaidi na Kuboresha Uhitaji Wako.
Tisa 9#: Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi Hivyo basi Utakuwa na uwezo wa Kusimamia Miradi Mwanzo Mwisho kwa Ufanisi Zaidi.
Kumi 10#: Changamoto Zinazopatikana Kwa Mkandarasi hivyo Basi Itakuandaa Kuzitatua na Kufanya Kazi Site bila Stress.
Kumi na Moja 11#: Tofauti zilizopo kati ya kufanya kazi kwa Makampuni Binafsi, Kujiajiri na Kuajiriwa serikalini kama “Civil Engineer/Technician” Hii Itakusaidia kufanya Maamuzi bora ya Kudumu kuhusu Mwelekeo wa Hatima yako.
Kumi na Mbili 12#: Mambo Manne (4) ya Kuzingatia Kwa Ajili Ya Maombi Ya Kazi za Serikali Kama Civil Technician/Engineer ili uwe shortlisted Kwenye Kila Kazi utakayoomba.
Kumi na Tatu 13#: Mbinu za Kutumia Kujiandaa na Usaili wa Kuandika Kada ya Uhandisi & Ujenzi ili Kuongeza Asilimia Kubwa ya Kufika Usaili wa Mahojiano ili kuongeza zaidi ya Asilimia ya Ufaulu Mpaka Kuwa Kwenye Database na Kupata Kazi Uliyoiomba.
Kumi na Nne 14#: Mambo ya Kufanya “Civil Engineer/Technician” Baada ya Kutafuta Ajira au Kazi Bila Kupata Matarajio Yako Ndani ya Muda Hii itakusaidia Kuongeza Mbinu Mpya za kutafuta "PESA" Nje na Career yako.
Kumi na Tano 15#: Sekta 9 za Kiuchumi Ambazo Kila ”Civil Engineer/Technician” Anaweza Akawekeza na Zikampa Matokeo Hivyo basi Kuongeza vyanzo vyako vya Kipato Kupitia Uwekezaji wa Uhakika.
Kumi na Sita 16#: Sehemu Kuu Tatu za Kuwekeza na Kukuza Mtaji wako Ambazo Risk Free 100% hivyo basi Utapata Kukuza Mtaji wako Bila Hofu ya Hasara.
Gharama za Program Hii Ni..
Tsh. 150,000/=
Ila Kwa Sababu Hujawahi Kupata Kitu cha Thamani Chochote Kutoka Kwangu Na Ndio Mara Yako ya Kwanza Leo Hii na Unahitaji Kweli Kushikwa Mkono Basi Kwa Ajili Yako Utapata Kwa Bei ya OFA ya Kufa Mtu...💪
Tsh. 10,000/= TU! TU!
Ni Sawa na Kulipia T-Shirt 👕 Moja Ambayo Ukiivaa Inachakaa na Haikusaidi Kutengeneza Hela Nyingine ila Unachokipata Baada ya Kulipia Haya MAFUNZO yana uhakika wakukulipa Milele Kama Utafata Kila Ambacho Kimefundishwa
Na Hii OFA Ni Kwa Watu 20 TU wa Kwanza Ndani ya Masaa 24..!!
(Ukiwa Kulipia Utakuwa Umeokoa Asilimia (93%) Yaani Tsh. 140,000/=)
Tsh. 150,000/=
Ila Kwa Sababu Hujawahi Kupata Kitu cha Thamani Chochote Kutoka Kwangu Na Ndio Mara Yako ya Kwanza Leo Hii na Unahitaji Kweli Kushikwa Mkono Basi Kwa Ajili Yako Utapata Kwa Bei ya OFA ya Kufa Mtu...💪
Tsh. 10,000/= TU! TU!
Ni Sawa na Kulipia T-Shirt 👕 Moja Ambayo Ukiivaa Inachakaa na Haikusaidi Kutengeneza Hela Nyingine ila Unachokipata Baada ya Kulipia Haya MAFUNZO yana uhakika wakukulipa Milele Kama Utafata Kila Ambacho Kimefundishwa
Na Hii OFA Ni Kwa Watu 20 TU wa Kwanza Ndani ya Masaa 24..!!
(Ukiwa Kulipia Utakuwa Umeokoa Asilimia (93%) Yaani Tsh. 140,000/=)
5243942
Jina Tony Mbugi
Kisha Nitumie Uthibitisho wa Muamala Kwa Njia ya WhatsApp Namba - (0746 452 103) Ndani ya Masaa 12 ili Nikuunge Katika [MAFUNZO]...
Unahitaji Nini Kuingia Katika Program Hii.?
Kulipia TU Sasa Hivi Kwa Sababu OFA Unayoiona Unaweza Usije Kuiona Tena..!!
Labda Unaweza Kuwa Una Mashaka...
1. Vipi Kama Simu Yangu Imepotea Ndio Napoteza Kila Kitu.?Hapana...Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE Utanitafuta kwa WhatsApp Kisha Nitakupatia Access ya Kila Kitu Tena.2. Vipi Nisipopata MATOKEO Inamaana Pesa Yangu Ndio itakuwa imepotea Hivyo?...
“USIJALI…Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…”
“Ikitokea Hujapata Kati ya Haya Matokeo, Moja Hujapata Pa Kuanzia Baada ya Kupitia Hii Program, Hujafaulu Written Interview Kati ya 3 Ulizoudhuria, Hujaweza Kuanzaa Kuwekeza Katika Chochote au Kujifunza Chochote Ambacho Kitakuingizia Pesa Ambacho Ndani ya Program Hii… basi Nitumie Ujumbe “0746-452-103” ili Nikurudishie Pesa yako bila Kukuuliza Swali lolote na Access ya Kila Kitu Unabaki Nayo… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako hamna cha Kupoteza)

![]() |
TAHADHARI: Ofa Hii Itakuwa Hewa Kwa Gharama Hizo Kwa Muda wa Masaa 24 Tu …Kwahiyo Wahi Lipia SASAHIVI ili Usikose OFA Hii Kabla ya Kurudi Kwenye Gharama ya Juu zaida Tsh 150,000/=
P. S. OFA hii ni ya Masaa 24 Tu… ina maana baada ya Masaa 24 Kupita Hiki PROGRAM Itapatikana kwa Tshs 150,000…
….na Kibaya zaidi ni Kwamba Usipolipia Sasa Hivi Utakosa na BONASI Zote Zenye Thamani ya Tshs 165,000 BURE
Jina Langu ni Tony Mbugi,..
Naishi Mikahawani, Mbeya – Tanzania...
Ni Mhandisi Ujenzi “Civil Engineer” nimesajiliwa na Bodi ya wahandisi ERB -Tanzania, Author (2 Books) na pia ni Lecturer (Tanzanian University) , Tutor (UDEMY) na ni Director katika Kampuni ya Ujenzi Class V.
“......Ninawasaidia Wahitimu na Wahitimu Watarajiwa Kada ya Uhandisi Ujenzi “Civil Engineering” Ngazi ya Diploma na Bachelor Kujenga Ujuzi Wenye Kuleta Matokeo Unaowasaidia Katika Kupata Ajira/Kazi, Kujiajiri, Kutengeneza na Kukuza Kipato na Kuwekeza....”