Ofa Inaisha Baada ya Masaa 6 Tu.
…Nipe Dakika 5 na Nitakuonesha…
Siri Zaidi ya 10 Hatua kwa Hatua Jinsi ya Kupata Kazi/Ajira, Kujiajiri na Kuwekeza Kama Graduate Civil Engineer/Technician Zenye Kukupa Matokeo Ndani ya Muda Mfupi.
“GUARANTEED”
Na
…” Tayari zaidi ya watu 51+ wamenufaika” …
Ndani ya Sekunde 60 zijazo utaenda kupata majibu ya maswali yako yote unayojiuliza yanayokunyima usingizi kila ukiwaza kuhusu ”Maisha Baada ya Kumaliza Chuo na Kitaa”... kama...
Hi,
Jina Langu ni Tony Mbugi,..
Naishi Mikahawani, Mbeya – Tanzania...
Ni Mhandisi Ujenzi “Civil Engineer” nimesajiliwa na Bodi ya wahandisi ERB -Tanzania, lakini pia ni Mkufunzi katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na miongoni mwa ma director na shareholder katika Kampuni ya Ujenzi Class V “AFRIKWANZA ENGINEERING AND CONSTRUCTION LIMITED, P.O Box 4209 Mbeya”.
“......Ninawasaidia Wahitimu na wahitimu watarajiwa Kada ya Uhandisi Ujenzi “Civil Engineering” Ngazi ya Diploma na Bachelor Kujenga Ujuzi Wenye Kuleta Matokeo Unaowasaidia kwa Haraka Kupata Ajira/Kazi, Kujiajiri na Kuanza Uwekezaji Bila Kuzingatia Experience Yako....”
Ili kuamini kile unachoenda kukipata hapa kinaenda kumaliza kabisa tatizo na kujibu maswali yako yote yanayokutatiza na kukusumbua kichwa kila unapowaza nini kitafata “Baada ya Kumaliza Chuo Civil Engineer/Technician”....
Tizama wahitimu na wahitimu watarajiwa wenzako kada ya uhandisi ujenzi “Civil Engineering” hapa chini wanavyosema baada ya kupata muongozo wangu....
Je, na wewe unatamani kufika hapo.?!
Ili kupata matokeo kama ya wenzako hapo juu nimekuandalia Program Itakayokuonesha Hatua kwa Hatua ... “Mwanzo Mwisho” Yenye: -
…Kukuelekeza Wewe Kama Mhitimu au Mhitimu Mtajariwa Kada ya Uhandisi Ujenzi “Civil Engineering” Nini cha Kufanya katika Njia yako ya Kutafuta Ajira/Kazi, Kujiajiri, na Uwekezaji Mpaka Kupata Matokeo Unayotaka ndani ya muda Mfupi...
Lakini pia Program Hii Ina…
“…. Kupa Muongoza Mzima wewe Kama Mhitimu Mtarajiwa Kuelewa na Kujiandaa vyema kwa Safari yako ya Maisha Baada ya Chuo, kwa kujifunza Mbinu za kujiajiri kutumia Maarifa yako ya Darasani, Kupata Ajira Kwenye Makampuni Binafsi au Serikali, Kushinda Changamoto za Ajira, na Kuanza Uwekezaji….”
Program Inaitwa ...
…” Maisha Baada ya Chuo Kama Civil Engineer/Technician ” …
👉BOFYA HAPA KUPATA PROGRAM
Na...
Serikali na Taasisi Binafsi Haziwezi Kuajiri Watu Wote Wanaomaliza Chuo Kubali au Ukatae na Huu Ndio Ukweli..
“Kulingana na takwimu fulani za “Benki ya Dunia (2016) Tanzania kwa mwaka huzalisha wahitimu kutoka vyuoni zaidi ya 800,000 wanaomaliza, kati ya hao ni asilimia 10% tu ndio wanaajiriwa kwenye sekta binafsi na serikalini.”
“Utafiti wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) uliofanywa Tanzania 2013 unaonyesha kwamba vijana hutumia wastani wa miezi 19.4 wakitafuta ajira na wastani wa miezi 21 bila ajira.
Hii inakupa picha kamili na mwanga kwamba ODDS nyingi za ushindani na uhalisia wa soko la ajira haziko upande wako..
”Ndio Maana Program Hii Imekuja Kwa Ajili yako Kukupa Suluhisho Lenye Kuleta Muelekeo na Matokeo Nini Ufanye Mpaka Kufikia Malengo Yako Makuu na Kujibu Maswali yako Unayotamani Kupata Ufumbuzi Kwa Haraka...“
Na Hivi Ndivyo Program Hii ”Maisha Baada ya Chuo Kama Civil Engineer/Technician”… Itakavyokusaidia Utajua...
Moja 1#: 🔥 Ukweli Kuhusu Soko la Ajira – Nini kinaendelea kwa sasa? Nini kinahitajika sokoni kutoka kwako hivyo basi itakusaidia kuboresha mbinu zako za kutafuta ajira na kuwa mbele ya ushindani.
Mbili 2#: Jinsi elimu yako ya kitaalum “Civil engineering” inavyoweza kukusaidia hivyo basi utapata kuelewa thamani ya ujuzi wako na jinsi unavyoweza kukutoa sehemu Moja kwenda Nyingi.
Utajifunza jinsi Eng. Mohammed E alivyotengeneza zaidi ya Million 150 kwa kutumia Ujuzi wa elimu yake ya kitaalamu ya "Civil Engineering"
Tatu 3#: 💡 Mambo Mawili (2) ya Kuzingatia Katika Safari ya Mafanikio Baada ya Kumaliza Chuo Hivyo basi Itaongeza Asilimia Kubwa ya Kupata Mafanikio ndani ya Muda Mfupi Katika Soko gumu la ajira lenye ushindani mkubwa mno..
Nne 4#: 💼 Njia 2 Rahisi ya Kuingia Kwenye Soko la Ajira ili Kupunguza ugumu wa wewe kupata sehemu ya kazi mara Moja na kuokoa muda wa kusubiri mtaani.
Tano 5#: Mambo Makuu (4) yanayochangia kwa asilimia kubwa kupata kazi kwa wakandarasi hivyo basi utapata kazi na michongo kwa wakandarasi wengi kama mvua ya mawe.
Sita 6#: Aina za ujuzi muhimu unaotakiwa kuwa nao ukiwa kwa Mkandarasi hivyo basi kuwa na ujuzi huu kutakuweka mbele ya waombaji wengine.
Saba 7#: Maarifa Muhimu Kwenye Kazi za Ujenzi Hivyo kufanya kazi na kusimamia mradi wowote wa ujenzi kwa ufanisi zaidi na kuboresha matokeo yako.
Nane 8#: Makablasha “Construction Documents” Muhimu Kwa Ajili ya Usimamizi wa Miradi Hivyo basi Utakuwa na uwezo wa kusimamia miradi mwanzo mwisho kwa ufanisi zaidi.
Tisa 9#: Changamoto Zinazopatikana Kwa Mkandarasi hivyo basi Itakuandaa kuzitatua na kufanya kazi site bila stress.
Kumi 10#: Tofauti zilizopo kati ya kufanya kazi kwa makampuni binafsi, kujiajiri na kuajiriwa serikalini kama “Civil Engineer/Technician” Hii Itakusaidia kufanya maamuzi bora kuhusu mwelekeo wa hatima yako.
Kumi na Moja 11#: Mambo Manne (4) ya Kuzingatia Kwa Ajili Ya Maombi Ya Kazi za Serikali Kama Civil Technician/Engineer ili uwe shortlisted kwenye kila kazi utakayoomba.
Kumi na Mbili 12#: Mbinu za Kutumia Kujiandaa na Usaili wa Kuandika Kada ya Uhandisi & Ujenzi ili Kuongeza Asilimia Kubwa ya Kufika Usaili wa Mahojiano ili kuongeza zaidi ya asilimia 80% Kupata Kazi Uliyoiomba.


Kumi na Tatu 13#: Mambo ya Kufanya “Civil Engineer/Technician” Baada ya Kutafuta Ajira au Kazi Bila Mafanikio Hii itakusaidia kuongeza mbinu Mpya za kutafuta PESA "HELA" nje na career yako.
Kumi na Nne 14#: Sekta 9 za Kiuchumi Ambazo Kila ”Civil Engineer/Technician” Anaweza Akawekeza na Zikampa Matokeo Hivyo basi Kuongeza vyanzo vyako vya kipato kupitia uwekezaji wa uhakika.
Kumi na Tano 15#: Sehemu Kuu Tatu za Kuwekeza na Kukuza Mtaji wako Ambazo Risk Free 100% hivyo basi utapata kukuza mtaji wako bila hofu ya hasara.
…Pamoja na SIRI Zingine Kibao utazikuta ndani ya Program hii ya “Maisha Baada ya Chuo Kama Civil Engineer/Technician”
…PROGRAM Hii ni Tofauti na Program nyingine zote Kwa Sababu Kila Kitu Unakipata Sehemu Moja…
…Ndani ya PROGRAM Hii utaenda Kujifunza hatua kwa hatua..….
Plus…
…utasoma kwa muda unaotaka wewe Kupitia SIMU au KOMPYUTA yako na kama una swali lolote utapata majibu kwa haraka...
Je?...
PROGRAM Naipataje .?
👉BOFYA HAPA KUPATA PROGRAMKwa sababu mimi na wewe hatujuani na wala hujawahi kupata Kitu Chenye Thamani Kama Hiki chochote kutoka kwangu..
Tsh. 400,000/=
Lakini bado..
Ingefaa Ulipie..
Tsh. 300,000/=
Lakini bado..
Je..?
Tsh. 200,000/=
Hapana
Je..?
Tsh. 100,000/=
Mmmh...mmh inakuja kuja..💭💭
Lakini Hapana Bado
💥Utalipia Tsh. 20,000/= Tu Kwa Bei ya Awali Kabla Haijapanda…💥
Utakuwa Umeokoa Zaidi Ya Asilimia 96% yaani Tsh. 480,000
Tsh. 20,000/= Ni Jeans 👖 au T-shirt👕 moja ambayo baada ya mwezi vimechuja tayari unanunua mpya.
BONASI # 1: Utapata kitabu BURE Kinachokuelekeza hatua kwa hatua Jinsi ya Kuandaa CV yenye kiwango ...(Huwa inalipiwa Tshs 10,000).
BONASI # 2: Utapewa usaidizi BURE Kufungua Akaunti ya Ajira Portal na Kujaza Taarifa zako zote Mpaka Kufikisha Asilimia za Kuanza Kuomba Kazi za Serikali na Barua zote za Kutafuta Kazi na Ushauri Jinsi ya Kuanzaa Kutafuta Kazi ....(Huwa inalipiwa Tshs 20,000).
BONASI # 3: Unaungwa BURE Kwenye Group la WhatsApp kwa ajili ya kupatiwa usaidizi wa karibu muda wowote… (Huwa Linalipiwa Tshs 10,000).
BONASI # 4: Utapata Kitabu BURE cha Jinsi ya Kujiandaa na Interviews yoyote ile ya Kuandika UTUMISHI kada ya Civil Engineering, Jinsi ya Kutafuta Connection za Kukupa Michongo Kama Mvua ya Mawe… (Wengine huwa wanalipia Tshs 50,000 kwa sasa).
BONASI # 5: Unapata Madarasa na Vitabu BURE vya Kuanzaa Kutengeneza Kipato Nje na Career yako...(Thamani yake Ni Tshs 85,000)
BONASI # 6: Unapata Madarasa Matatu na Vitabu BURE vya Kuanzaa Uwekezaji Ambao Ni Risk Free 100% Kukuza Kipato Chako...BURE..BURE...BURE!......(Thamani yake Ni Tshs 15,000)
BONASI # 7: Unapata Access ya Darasa BURE Njia 5 za Kutengeneza Pesa ...BURE...BURE...BURE!....(Thamani yake Ni Tshs 70,000)
Labda unaweza kuwa unajiuliza…
1. Vipi Kama Simu Yangu Imepotea Ndio Napoteza Kila Kitu.?
Hapana...Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE Utanitafuta Kisha Nitakupatia Access ya Kila Kitu Tena
2. Vipi Nisipopata MATOKEO Inamaana Pesa Yangu Ndio itakuwa imepotea Hivyo?...
“USIJALI…Kwani Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…”
“Ikitokea Hujapata Kati ya Haya Matokeo, Moja Hujapata Kazi Baada ya Kupitia Hii Program, Hujafaulu Written Interview zaidi ya 3, Hujaweza Kuanzaa Kuwekeza Katika Chochote au Kufanya Chochote Ambacho Kitakuingizia Pesa Ambacho Utakuwa Umejifunza Ndani ya Program Hii… basi nitumie Ujumbe “0746-452-103” ili nikurudishie pesa yako bila kukuuliza swali lolote na Access ya Kila Kitu Unabaki Nayo… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako hamna cha kupoteza)

![]() |
…Na inavyoonekana Mpaka sasa una Machaguo Mawili Tu…
Aidha ukubali uendelee kuwa na HOFU, WASIWASI na SINTOFAHAMU ya Maisha yako kama kucheza mchezo wa kubahatisha au Kuchukua Hatua Sasa Hivi ili Kupata Muongozo na Muelekeo wa Maisha Baada ya Kuhitimu Mpaka Kufikia Malengo Yako na ubadilishe kila Kitu ndani ya muda mchache Tu…chaguo ni lako rafiki yangu!
TAHADHARI: Ofa Hii Itakuwa Hewa Kwa Gharama ya Tsh. 20,000/= Kwa Muda wa Masaa 6 Tu …kwahiyo wahi Lipia SASAHIVI ili usikose OFA Hii Kabla ya Kurudi Kwenye Gharama ya Juu zaida Tsh 500,000/=
P. S. OFA hii ni ya Masaa 6 Tu… ina maana baada ya Masaa 6 Kupita Hiki PROGRAM itapatikana kwa Tshs 500,000 badala ya Tshs 20,000 Tu ya sasahivi …
….na Kibaya zaidi ni kwamba Usipolipia Leo Utakosa na BONASI Zote zenye Thamani ya Tshs 260,000 BURE
Kwahiyo wahi chukua HATUA sasahivi ⏰⌚ ili Kuepuka Gharama za ziada!..
Nakumbuka Miaka 6 iliyopita nilipewa Option kama hii…na nilichagua KUANZAA ndio maana leo Hii nipo hapa nikiwa na CONFIDENCE!
Wewe unasubiri nini?... Matokeo Ni Uhakika. . . . . . Kuona Ni Kuamini..

Hey, Bado Upo
Yawezekana Unajiuliza Hili Swali Hapa
Je PROGRAM Naipata Sasa Hivi?
Well,
Utapata na BONASI ZAKE ZOTE BURE Kabisa Ndani ya Muda Mchache Tu!

Yawezekana Unajiuliza Hili Swali Hapa
Je PROGRAM Naipata Sasa Hivi?
Well,